Ligi KuuKwa Yanga hii ubingwa upo palepale!Thomas Mselemu3 months agopresha ya ubingwa kuanza kutawala kuanzia kwa mashabiki mpaka kwa wachezaji wa Yanga.
Ligi KuuKocha Simba: Kipindi cha pili wachezaji walipumzika.Thomas Mselemu3 months agoKocha Pablo alikiri timu yake ilicheza vyema kipindi kimoja tuu chakwanza na kushindwa kua na muendelezo mzuri katika kipindi cha pili
Ligi KuuAzam Fc wakubali yaishe waache wataalam wafanye kazi!Thomas Mselemu3 months agoAzam Fc imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara moja pekee tangu timu hii ipande daraja mwaka 2008,
Ligi KuuChama bai baii Simba!Thomas Mselemu3 months agoChama anatarajia kukosa michezo karibia yote ya msimu huu.
Ligi KuuSimba na kisasi dhidi ya Hamis Kiiza!Thomas Mselemu3 months agoTayari Kagera Sugar wamejinasibu kuendeleza palepale walipoishia katika mchezo wa mwisho baina yao
Ligi KuuMayele alistahili kupiga penati.Thomas Mselemu3 months agoNi kwa mara ya kwanza katika msimu huu Yanga imecheza michezo mitatu mfululizo bila kutoka na ushindi na bila kufunga bao lolote
Ligi KuuKaze au Mayele alaumiwe kwa sare hizi mfululizo?Tigana Lukinja3 months agoUnadhani kuna mpango wa pamoja toka kwa benchi la ufundi na wachezaji labda wakiwemo na viongozi wa kumwandaa na kumtengenezea Mayele.
Ligi KuuYanga yashindwa kuvunja gereza, Mayele aweka rekodi.Thomas Mselemu3 months agoNi kwa mara ya kwanza Yanga wanacheza michezo mitatu mfululizo bila ushindi
Ligi KuuKMC kambini kujiandaa na kina Ndemla.Thomas Mselemu3 months ago“Mchezo uliopita tulipoteza dhidi ya Azam tukiwa ugenini, lakini hiyo bado haituvunji moyo wala kututoa kwenye morali zaidi.
Ligi KuuPablo anastahili lawama za John BoccoTigana Lukinja3 months agoJohn Bocco alifunga goli lake la kwanza katika mchezo dhidi ya Ruvu na kwenda kuungana na yale 7