Ligi KuuBeki Yanga apandisha timu Ligi Kuu!Thomas Mselemu3 months agowamesheheni wachezaji wakubwa na wenye majina ambao wamepita vilabu vikubwa nchini kama Simba, Yanga, Azam, Mbeya city na KMC, lakini pia ina nyota wa kigeni kutoka mataifa mbalimbali.
Ligi KuuSimba dhidi ya Ruvu Na vita ya nafasi katika msimamoTigana Lukinja3 months agoKwa upande wa wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club kuna taarifa za chini chini kwamba kuna mahusiano 'dhaifu' kati ya nyota
Ligi KuuSimba: Ruvu Shooting hawaiwezi vita!Thomas Mselemu3 months agoKuna kutangaza vita na kupigana vita miaka yote Ruvu huwa wanatangaza vita lakini huwa hawana uwezo wa kupigana vita.
Ligi KuuAhmed Ally: Simba ilikua dhaifu!Thomas Mselemu3 months agoMsimu uliopita hadi kufika round ya 22 japo timu zilikua nyingi lakini timu 7 zilikua na points 30+.
Ligi KuuGoli la Ruvu halikua halali?Thomas Mselemu3 months agoMsililize hapa Tigana Lukinja akilielezea kwa ufasaha tukio lile.
Ligi KuuMasau Bwire: Mayele alikua anahangaika uwanjani!Thomas Mselemu3 months agoMayele mliesema anatetema nilisema atatetemeka kwa hofu na mashaka na ndicho kilichotokea uwanjani.
Ligi KuuSimba wanalazimika kuwa watumwa!Thomas Mselemu3 months agoNi wazi sasa wachezaji wa Simba wamekata tamaa ya ubingwa baada ya tofauti ya alama dhidi yao na Yanga kuwa kubwa.
Ligi KuuSimba na mfupa mgumu mbele ya Julio!Tigana Lukinja4 months agoJulio siku zote huwa anaamini yeye ni bora kuliko hawa makocha wa kigeni wanaokuja kufanya kazi na hizi timu.
Ligi KuuSimba Mtwara, Yanga Kigoma!Thomas Mselemu4 months agoBaada ya suluhu katika dimba la Benjamin Mkapa, sasa vigogo hao watapaswa kuendelea na majukumu mengine.
Ligi KuuSimba ilinyimwa penati halali?Thomas Mselemu4 months agoNini mtazamo wako kwa mwamuzi Ramadhani Kayoko aliechezesha mchezo huo, aliumudu mchezo inavyostahili?