Beki wa pembeni wa timu ya soka ya Mwadui ya mjini Shinyanga Miraji Makka amesema imembidi kusafiri na timu kuelekea jijini Dar es Salaam ili kupambana na kuisaidia timu hiyo kusalia kwenye ligi kuu msimu ujao watakapocheza na KMC.
Fuatilia matokeo na msimamo wa ligi kuu leo wakati wa mechi zote leo.
Simba walifanikiwa kufunga bao la ushindi katika dakika ya 97 kupitia kwa Hassan Dilunga.
Muda mwingi walikuwa wanajiangusha sana kwa minajili ya kupoteza.muda kwenye mechi ya leo”
Safu ya ushambuliaji ya Simba Sc hakika ipo moto, mpaka sasa imeshafunga mabao 44 katika michezo 27 pekee ya Ligi kuu Tanzania bara.
Simba imemaliza mechi zake katika kanda ya ziwa, hivo wanasafiri na kurudi Dar es Salaam kwa ajili ya kuendelea na kampeni yake ya ligi kuu Tanzania bara.
Simba ni timu bora wametoka kushiriki mashindano ya kimataifa na wamefanikiwa kwa asilimia 60. 70. Kwa hiyo wao ni bora”.
“Sisi ni bora baada ya Simba na Yanga kwa hiyo mashabiki waje kushuhudia mechi nzuri”
Harakati za Simba kumaliza viporo vyake katika kanda ya Ziwa inaendelea tena leo baada ya kucheza mechi tatu katika ƙanda hiyo.
Simba sasa imebakisha mchezo mmoja katika ukanda huo watakaoucheza kesho dhidi ya Biashara United ya Mara.