Yani timu itoke Dar, baada ya siku tatu inatakiwa icheze mechi Iringa, baada ya siku tatu inatakiwa icheze mechi Shinyanga.Itoke Shinyanga, iende Dar tena kucheza mechi. Unacheza ndani ya muda mfupi bila mapumziko kwa wachezaji
“wanapokuwa katika mazoezi, huwa nawaangalia kipi wanafanya wanapatia na kipi wanakosea, kwahiyo narekebisha baadhi ya vitu vichache japo muda hauruhusu lakini tutajitahidi kuhakikisha tunarekebisha lengo ni kupata ushindi”
Baada ya kufunga goli lile zuri dhidi ya Nkana huenda ikapita tena miaka mingi ndipo aje kufunga goli zuri kama lile
Simba inamalizia viporo vyake vya ligi Kuu Tanzania bara. Leo ipo dhidi ya Stand.
“lakini kikubwa niseme kuwa kwamba, Mimi napenda waamuzi wawe wanaangalia, tumenyima takribani penalti tatu”.
Watu wengi wa mji wa Bariadi mkoani Simiyu, wamekuwa wakiwaona Stand United wakitokea kwenye njia ambayo Gamboshi ipo.
Ndemla ataungana na Ibrahim Ajib ambaye ashawahi kutoka Simba na Kuja Yanga na waliwahi kucheza pamoja katika timu ya Simba.
Wadau wengi wa soka nchini wanaamini kuwa, kukosekana kwa mdhamini mkuu wa ligi, kunaongezaukata kwa vilabu na hii hurahisha upangaji wamatokeo.
Anafanya makubwa zaidi ambayo Mavugo aliwahi kuvifanya. Meddie Kagere mpira wake wa mwisho una madhara makubwa sana kuliko mpira wa mwisho wa Mavugo.
Endapo kama itatokea, mambo mengi yatabadilika kwa upande wa Azam na Yanga kama vilabu, pia hata kwa kocha mwenyewe.