Timu ya taifa ya Ufaransa yapata pigo
Beki wa klabu ya Arsenal, Laurent Koscielny, atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi 6 kufuatia kuumia mguu Beki huyo, alipata maumivu katika mguu wake wa kulia katika mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya UEFA Europa League dhidi ya Atretico Madrid uliopigwa nchini Hispania...