Wachezaji nyota Ulimwenguni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wanarejea kuzitumikia timu zao za Taifa kwa mara ya kwanza toka kumalizika kwa michuano ya kombe la dunia iliyomalizika mwaka jana nchini Russia. Messi anatarajiwa kuanza kwenye mchezo wa leo Ijumaa ambapo Argentina watacheza dhidi ya Venezuela jijini Madrid kwenye mchuano wa...
Wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Russia Aleksandr Kokorin wa Zenit St Petersburg na Pavel Mamaev wa Krasnodar wapo katika uchunguzi kufuatia tukio la kumpiga mtumishi wa uma kwenye Mgahawa wa chakula mjini Moscow. Wachezaji hao wanatuhumiwa kwa kumpiga mfanyakazi wa wizara ya Biashara Denis Pak na kumsababishia majeraha...
Shirikisho la Kandanda Ulimwenguni (FIFA) limethibitisha majina ya wachezaji 736 kutoka katika vikosi vya timu 32 ambazo zitashiriki michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza Juni 14 hadi Julai 15 mwaka huu. Mtandao huu umekuletea majina ya wachezaji 23 kutoka katika kila timu ambao wamepita mchujo wa mwisho kwa ajili...
Mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri jana alipata majeraha ya bega katika mchezo wa fainali jijini Kyiev dhidi ya Real Madrid. Mchezo huo ulimalizika kwa Liverpool kupoteza kwa mabao matatu kwa moja mbele ya Real Madrid, magoli ya Real Madrid yalifungwa na Karim Benzema na Gareth Bale...
Vikosi vya timu za taifa zilizofuzu kombe la dunia nchini Russia tayari vimetajwa huku baadhi ya mastar wakikosekana kwenye timu zao. Vilabu mbalimbali vimekua vikitamani kutoa wachezaji wakazitumikie timu zao za Taifa ili kuongeza thamani yao katika soka. Klabu ya Manchester City pamoja na mafanikio makubwa waliyoyapata katika ligi pia...
Ni kama homa ya Kombe la dunia inazidi kupanda huku makocha wa timu za Taifa wakitangaza vikosi vyao vya wachezaji 23 watakaounda timu zao. Baadhi ya timu zimeshatoa majina ya wachezaji wake 23 watakaoziwakilisha nchi zao, huku baadhi ya majina makubwa yakikosekana kwenye vikosi hivyo. Kuna nyota mbalimbali wanaokosa michuano...
Ni mwezi mmoja tuu ukiwa umabaki kuelekea kombe la dunia litakalofanyika June mwaka huu Urusi. Ligi zote zikiwa zimekwisha macho ya wadau yakisubiri burudani kutoka kwa wachezaji wa mataifa 32. Mwenyeji Urusi akitarajiwa kufungua dimba na Saudi Arabia ya michuano hiyo mikubwa kwa upande wa mpira wa miguu duniani. Baadhi...