Huku kocha Nasreddine Nabi akihusishwa na Kaizer Chiefs, nyota wa zamani wa PSL Bernard Morrison amefanya ulinganisho wa kuvutia kati ya Amakhosi na Wananchi.
Injinia Hersi Said amesema wanajua umuhimu wa Morrison hivyo wapo tayari kufanya lolote linalowezekana ili wapate huduma yao Morrison wakiwa ugenini nchini Afrika Kusini
Nae kiungo wa pembeni wa Yanga Benard Morrison akizungumza kwa niaba ya wachezaji wenzake amesema hawakwenda Nigeria kujifurahisha wanataka kushinda mchezo huo
Simba ni wazuri kwenye winga zao wana wachezaji wazuri ambao wakiwa mmoja dhidi ya mmoja na ndio maanaa hatukuwaacha kina Sakho na Morrison wakutane na hiyo situation.