Kinachokosekana kwa Niyonzima kipo kwa Carlinhos
Hapana shaka hakuna ubishi kuwa Haruna Niyonzima anajua kuuchezea mpira. Lakini huu ujio wa huyu mwingine ni barah!
Sitaki kumuua Carlinhos-kocha wa Yanga
Hajacheza miezi mitano inahitaji apewe dakika chache
Tuna kikosi cha bilioni mbili na nusu!
Sijui upande wenu na tuna kikosi ambacho kinajumuisha Mataifa nane ya Afrika, sijui upande wenu, mtatuambia lakini.