Feisal Toto tumaini jipya katika Derby!
Ama kwa hakika kwa Feisal amefufuka wakati muafaka haswa katika kulekea mchezo dhidi ya Simba na hivyo kumpa mwalimu uchaguzi mwingi katika eneo la kiungo.
‘Niliamini ni jaribio letu la mwisho..’-Fei Toto
“ Lilikuwa ni jaribio zuri, niliona upenyo wakati nakwenda kupiga mpira ule na nilijua linaweza kuwa shuti letu la mwisho...
Feisal na Nyoni kubadili mifumo Simba na Yanga!
Erasto Edward Nyoni na Feisal Salum "Totó" walibaki kua gumzo kwa mashabiki baada ya ushindi wa mabao mawili ya Tanzania...
Makapu ni bora kuliko ‘Fei Toto’ vs Simba
SAID Juma Makapu aliingia uwanjani dakika za mwisho wakati Yanga SC ilipoendeleza ushindi wa asilimia 100 Jumapili iliyopita. Yanga ilishinda...
Ngoja nimpe Chaki na Ubao ‘Boban’, awape somo kina Feisal ‘Toto’.
Haruna Moshi " Boban" ni jina ambalo lilipata umaarufu sana, na ni jina ambalo lilikuwa linahusudiwa sana kuwepo kwenye midomo...