Kinachokosekana kwa Niyonzima kipo kwa Carlinhos
Hapana shaka hakuna ubishi kuwa Haruna Niyonzima anajua kuuchezea mpira. Lakini huu ujio wa huyu mwingine ni barah!
Kwanini Morrison
Mimi na wewe huenda tunasikia tetesi kuwa Benard Morrison amemwaga wino ndani ya Simba lakini tusiwe na ukweli, lakini hiki ndicho tunaweza kukwambia.
Ni nusu fainali yenye gundu? -3
Waswahili hutumia neno "Gundu" kwa kuashiria bahati mbaya, kukosa bahati ama mkosi, ndicho unachoweza kusema kwa timu zote mbili Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa nusu fainali wa Azam Sports Federation Cup.
Niyonzima ndiye mchezaji mwenye akili Yanga- KOCHA WA YANGA
Jana Yanga wametoka suluhu na Tanzania Prisons na inakuwa mechi ya pili mfululizo kuchukua alama moja baada ya kutoka...
Niyonzima kutua leo kwa ajili ya kuiua Simba
Dirisha dogo la usajili msimu huu lilifunguliwa na Yanga walihakikisha wanaanza kujiimarisha sehemu ambazo waliona wao kama wao wana mapungufu...
Niyonzima: Watanzania wanapenda sana mpira.
dhahili bila kificho kuwa Watanzania wanaupenda sana mpira kuliko nchi zingine. Niyonzima ameendelea kwa kusema kuwa mapenzi hayo ni vigumu sana kuyakuta kwa nchi nyingine za kiafrika.
Aussems anapowakataa Kotei, Niyonzima na kumkubali Zana ni matokeo niliyotaraji
Simba walipaswa kutazama malengo yao mapya na kumpima Aussems kama anaweza kuyabeba kabla ya kumpatia muda zaidi
Uliwaona Ajib na Niyonzima walivyocheza pamoja ?
Ibrahim Ajib na Haruna Niyonzima ni watu wengine ambao wanaweza kuifanya dunia izungumze lugha moja kama wakicheza pamoja.
Muzamiru Yassin anaweza kuwa bora zaidi ya Chama, Niyonzima….
Kutokushinda tunzo ni jambo lingine, lakini kitendo tu cha kumudu kuwepo katika orodha ya viungo watatu bora wa klabu yake msimu uliopita ni ishara njema zaidi kwake kama ataendelea kujituma na kufuata maelekezo ya walimu wake.
Niyonzima yupo ‘On fire’!
Niyonzima ameonekana kuwa na kiwango kizuri baada ya kuwa anaanza katika kikosi cha Simba.