Ligi KuuJinsi Phiri na Dube walivyooingiza Simba kwenye rekodi.Mwandishi Wetu1 year agoKutokana na ushindani huo umepelekea kuwekwa kwa rekodi mbalimbali na kunogesha ligi hiyo ambayo ni namba tano kwa ubora barani Afrika.
Ligi KuuKMC wakiwa pungufu waingia kambini.Mwandishi Wetu1 year agoKMC FC inakwenda kwenye mchezo wa mzunguko wa 20 ikiwa kwenye nafasi ya tisa mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC ikiwa na jumla ya alama 22.
Ligi KuuKMC kambini kuiwahi Mtibwa.Mwandishi Wetu1 year agoKwaupande wa hali za wachezaji, bado kunachangamoto ya wachezaji watano ambao wanamajeraha ambapo kati ya hao wachezaji watatu ni majeruhi wapya waliotokana na mchezo uliopita dhidi ya Ihefu
Ligi KuuMtibwa na mchezo wao wa karata.Tigana Lukinja2 years agoKama ningeulizwa ya Mtibwa Sugar FC ilipaswa kuwa timu ya mchezo gani basi jibu langu la moja kwa moja ingekuwa...
Ligi KuuTamu na chungu za dakika ya mwisho!Tigana Lukinja2 years agoLigi kwa ujumla ilikuwa ngumu na yeye kusisimua licha ya bingwa kupatikana mapema lakini kiwango cha ushindani kilikuwa kikubwa hadi dakika ya mwisho.
Ligi KuuHizi hapa mechi kali zakumalizia Ligi!Tigana Lukinja2 years agoBinafsi hii ndiyo michezo mikubwa miwili ninayoiangalia kwa jicho la uoga kwa kuwa ina maamuzi na hatma ya timu. Fiston Mayele na George Mpole!?
Ligi KuuSimba yaishindilia Mtibwa, Ndemla ashangaza!Thomas Mselemu2 years agokuutumbukiza wavuni. Katika hali ya kushangaza kiungo wa Simba anaeitumikia Mtibwa Sugar kwa mkopo alitolewa nje ya uwanja katika kipindi cha pili.
TetesiSaid Ndemla awa lulu, wababe wanataka kumrudisha mjini.Thomas Mselemu2 years agoSaid Ndemla alijiunga na Mtibwa msimu huu akitokea Simba Sc baada ya aliyekua kocha wa wa Simba wakati huo Didier Gomes kumkataa
Ligi KuuKMC kambini kujiandaa na kina Ndemla.Thomas Mselemu2 years ago“Mchezo uliopita tulipoteza dhidi ya Azam tukiwa ugenini, lakini hiyo bado haituvunji moyo wala kututoa kwenye morali zaidi.
Ligi KuuWazee wa moja moja waipumulia Simba!Thomas Mselemu4 years agoBai moja bila dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Kagera na sasa dhidi ya Mtibwa Sugar