Ligi KuuMkude anachakujifunza kwa Feisal Salum “Toto”Thomas Mselemu5 years agoBaada ya kufunga goli lile zuri dhidi ya Nkana huenda ikapita tena miaka mingi ndipo aje kufunga goli zuri kama lile
Ligi KuuTetesiUhamishoNdemla atua Yanga.Martin Kiyumbi5 years agoNdemla ataungana na Ibrahim Ajib ambaye ashawahi kutoka Simba na Kuja Yanga na waliwahi kucheza pamoja katika timu ya Simba.
Ligi KuuMwalimu mzuri wa Chama ni ‘Ndemla na sio Mkude’.Sekwao Mwendi5 years agoHaya yote sio lazima ayasikie kutoka kwa Aussems ni lazima aujue mchezo kama mchezaji. Na hapa ndio utapata maana halisi ya maneno ya Meddie Kagere kuwa “Game Intelligence is better than age” na ndio maana kila siku Emmanuel okwi anaonekana kuwa mtu
SportpesaSimba kuwakosa nyota wake katika Sportpesa super cup.Thomas Mselemu5 years agoSimba sc kuelekea mchezo wa kesho itawakosa wachezaji wake kutokana na sababu mbalimbali.
UhamishoNdemla anaenda zake Ulaya!Thomas Mselemu5 years agoSaid Ndemla anaondoka anaiacha Simba ikiwa katika michezo muhimu ya klabu bingwa Africa.
BlogSimba yenye NDEMLA ni hatari zaidi kuliko Simba yenye MKUDE!.Martin Kiyumbi5 years agoSaid Khamis Ndemla, mara nyingi tumekuwa tukimuona anacheza katika eneo la kiungo mshambuliaji. Lakini katika mechi mbili zilizopita (mechi dhidi...
Blog“NDEMLA” toka “TANZANIA” isiyo na “NIA” na wewe!Martin Kiyumbi5 years agoKila mguu wake unapokanyaga nyasi za uwanja wa taifa kuna kipya hutokea. Hii ni kwa sababu udongo mwingi wa kutengenezea...
Ligi KuuSimba yagoma kunywa lubisi, yaitandika Kagera 2-0 yarejea kileleniAbdallah Saleh6 years agoUnaweza kusema kama Simba sc wamekata kunyweshwa Lubisi (pombe maarufu ya wenyeji wa mkoa wa Kagera kutoka kwa wenyeji wao...