Tulipoteza nyumbani dhidi ya Raja Casablanca lakini tumekuja na mbinu mpya ambazo tunaamini zitatusaidia. Tunataka kutumia uwanja wa nyumbani kumaliza mechi
Kwasasa Shomary hajaitwa kikosini Stars kiasi cha kupelekea wadau wa soka kutoa maoni tofauti na kuwa gumzo baada ya uteuzi huo wa kocha mpya wa Stars Adel Ameorouche.
Walinzi wengine wa pembeni walioitwa katika kikosi cha Stars Kibwana Shomary [Yanga], Datius Peter [Kagera Sugar] na Yahya Mbegu wa Ihefu wote hawapo katika orodha hiyo.
Adel Amrouche aliyetangazwa hivi karibuni kupewa mikoba ya Stars amewajumuisha wachezaji wengi wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi akichanganya na baadhi wanaocheza Ligi ya ndani.