Simba: Tunawaza kumsajili Simon Msuva!
Kwasasa Simon Msuva yupo nchini akiwa hana klabu anayoichezea baada ya kushindwa kufikia muafaka na waajiri wake Wydad Casablanca
Shamte apewe muda, yule Msuva hatari! Unamuelewa Mao?
Hii hapa mpwa wangu nimekuletea zawadi hii kutoka Bujumbura kuhusu wachezaji walivyocheza, twende sasa..
Nimetosha kucheza Afrika – Simon Msuva
Mchezaji huyo wa zamani wa Yanga, amedai kuwa kwa sasa imetosha kwake yeye kuendelea kucheza Afrika na anatafuta changamoto mpya.
Kinachoniuma vitabu vitamwandika Msuva na kumsahau Bocco
Kipi hicho kinachofanywa na John Bocco? Mchezaji ambaye ameaminiwa na ni mtulivu katika majukumu yake...
Tanzania imesheheni washambuliaji kibao!
Pengine kufanya vizuri kwa Mbwana Samata akiwa Krc Genk kumefungua njia kwa vijana wetu:
Simoni Msuva uko kimya sana rafiki yangu.
Hello. Kheri ya mwaka mpya rafiki yangu. Nimekukumbuka sana , nimekumbuka vingi ambavyo tulikuwa tunazungumza
Taifa Stars hii haijawahi kutokea!
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ''Taifa Stars'' tayari kipo kambini kujiandaa na mchezo wa kufuzu katika fainali za...
TP Mazembe waiua ndoto ya Msuva Klabu Bingwa
Mtanzania Simon HappyGod Msuva ameshindwa kuifikia ndoto yake ya kucheza hatua ya robo fainali ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika...