Kama tuna malengo ya kukuza soka letu, hiki ndicho moja kati ya vitu vya kuviangalia kwa jicho la tatu. Football Academy!. Kituo cha House of Blue hope (HBH) kimefanikiwa na kinaendelea kuwakusanya vijana wenye umri chini ya miaka 15 kwaajili ya kuwapa mafunzo ya mpira wa miguu. Kandanda.co.tz ilipata fursa...
Kulikuwa na dalili za Mbaraka Yusufu mshambuliaji wa Kagera Sugar kuibuka mchezaji bora wa ligi kuu msimu huu wa 2016-17 lakini kadi nyekundu mechi ya juzi na Yanga SC inamtoa katika kinyang'anyiro hicho . Suala la nidhamu huenda likachafua mbio hizo. Namuona Haruna Niyonzima kurudi kwenye tuzo za mchezaji bora...
Mbwana 'Samagoal' Samatta aakijibu maswali mbele ya mkutano na waandishi wa Habari, aliposajiliwa na klabu ya Genk ya Ubelgiji. Samatta ameelezea kufurahishwa na kujiunga kwake katika klabu ya Genk, na yupo tayari kuisaidia timu hiyo kushinda mabao ambayo yataiwezesha klabu hiyo kupata mataji. Anategemea kuwa na misimu mizuri hapo Genk,...
Athuman Idd Chuji ni shujaa kweli kweli, Mwaka 2011 alipopata Matatizo na timu yake ya Yanga aliamua kuvuka barabara na kuelekea Simba SC na kusajili kwa ajili ya msimu mpya na mashindano ya Kagame Cup, hili lilitokea japo mwaka 2008 Usajili wake wa Utata toka Simba kwenda Yanga ulizua sintofahamu...