Saa02Asb: Magoli Mengi Katika Mchezo Mmoja!
Mara baada ya mchezo huo timu ya I’Emryne ilifungiwa miaka mitatu na wachezaji wanne walifungiwa kutokucheza soka
Mara baada ya mchezo huo timu ya I’Emryne ilifungiwa miaka mitatu na wachezaji wanne walifungiwa kutokucheza soka
Walishinda ubingwa wa Ulaya kwa kuwafunga Inter Milan mabao mawili kwa moja kwenye Dimba la Estadio Nocional
Je Simba atazimudu kelele za mashabiki elfu 75 kwa dakika zote 90? Unafikiri Simba wachezeje ili wapate ushindi? Kikosi je?
mchezo mkubwa lakini hana presha yoyote akiwa amekiandaa kikosi chake kupambana dakika 90 mbele ya wazoefu Ahly.
Hii ni miongoni mwa nukuu za Gaston Sirino ambazo amewahi kuzungumza kuhusu Al Ahly
Imani ni jambo kubwa katika mambo mengi.
Tunahitaji mpango wa mafanikio wa timu zetu kipitia vipaji vya wachezaji wengi ambao wanasajiliwa.
Ungana na wachambuzi wa Mtandao wa kandanda katika kuchambua, maswali na majibu, utabiri wa African League ambayo itafunguliwa Jijiji Dar Es Salaam.
ni juu zaidi kulinganisha na sisi pia wana wachezaji wengi sana ambao wanacheza Ligi kubwa Afrika na nje ya bara hili.
Tumeamua kulipokea soka na uwekezaji ni mkubwa huku sasa unalipa.