Shomary Kibwana: Toleo jipya la Kapombe na Juma Abdul!
Kwenye stori zangu na yeye aliwahi kuniambia kua hakuna timu anaweza kwenda na kushindwa kucheza!
Kwenye stori zangu na yeye aliwahi kuniambia kua hakuna timu anaweza kwenda na kushindwa kucheza!
Kilichofuata hapo ni historia, hakuna mwanaYanga asiyemjua, hakuna mchezaji wa timu pinzani asiemuhofia, wote walikua wakimuona tu, wanajua kazi ipo leo!
Chama cha soka nchini Uganda kimetoa msaada huo ili kupunguza makali katika kipindi hiki ambacho Ligi zimesimama.
Tovuti ya Kandanda inakuletea maoni ya baadhi ya wachezaji wa Ligi Kuu na daraja la kwanza.
Kongwe Sabato “Kevi Kiduku” wa Kagera Sugar ametoa ya moyoni kuhusiana na uhamisho wake wa kutoka Gwambina fc na kutimkia kwa “Wanakurukumbi” Kagera Sugar.
Tazama hapa rekodi zake akiwa na Klabu yake ya Coastal Union.
Baada ya usajili huo mashabiki wengi wa soka walibaki na maswali ni kwanini Kevi Kiduku ameamua kwenda kutumikia katika timu hiyo.
Mchezaji huyo wa zamani wa Mbao fc na Yanga amesema kama wachezaji hawajaathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na Ligi kusimama ili kuzuia maambukizi ya corona.
Sisi kama wachezaji tunathamini kazi yetu na ukizingatia team yetu haipo katika hali nzuri tunahitaji kuibakiza katika ligi kila mmoja atafanya mazoezi atakapokuwa.
Yanga imepata ushindi huo huku mashabiki wake wakicheza soka safi pia nakuweza kuidhibiti Simba kila eneo uwanjani.