Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Uhamisho

Baada ya kutemwa Yanga, Juma Balinya asajiliwa timu kubwa!

Mwanzoni mwa msimu huu Yanga walimsajili aliyewahi kuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda 2018/2019 akiwa na timu ya Police ya Uganda , Juma Balinya. Juma Balinya alikuja kuziba nafasi ya mshambuliaji Makambo ambaye alisajiliwa na timu ya Horoya ya nchini Guinea lakini Juma Balinya hakufanikiwa  kufanya vizuri. Balinya...
Tetesi

Norwich yambakiza kidogo Samatta

Watanzania wengi wamekuwa na hamu ya kumuona Mbwana Samatta akiwa kwenye ligi ya England ligi ambayo inafuatliwa na watu wengi duniani. Na ndiyo ligi pendwa hapa nyumbani Tanzania. Norwich wanaonekana kuhitaji huduma ya Mtanzania huyo anayekipiga KR Genk kwa sasa . Norwich imeshapeleka ofa mbalimbali kwenye timu ya KR Genk...
Blog

Sababu kwanini BENO KAKOLANYA ni bora kuzidi AISHI MANULA

Simba kwa sasa ina walinda milango wawili ambao wanaonekana ni bora sana, Beno Kakolanya ambaye alisajiliwa na Simba akitokea Yanga , pamoja na Aishi Manula ambaye amekuwa na kikosi kile cha Simba kwa muda sasa hivi , kiufundi tumejaribu kutazama nani bora kati yao na tumekuja na sababu kadhaa zinazombeba...
Tetesi

David Molinga kutemwa Yanga

Baada ya Jana David Molinga kutoonekana hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba wa Yanga na kuacha maswali mengi kuhusiana na tukio hilo kuna Habari kuwa uongozi wa Yanga wanampango wa kuachana na mchezaji huyo. Mchezaji huyo ambaye yuko kwa mkopo katika klabu hiyo ya Yanga ,inaelezewa kuwa viongozi mbalimbali...
Ligi Kuu

DITRAM NCHIMBI alikuwa beki wa kwanza wa YANGA

  Jana katika mchezo dhidi ya Simba kocha wa Yanga Charles Boniface Mkwasa aliamua kuanza na mshambuliaji mmoja wa kati huku nyuma yake akiwa anacheza Papy Kabamba Tshishimbi. Charles Boniface Mkwasa alianza na mfumo wa 4-4-1-1 ambapo alijaza viungo wengi wenye asili ya katikati , Makame , Mapinduzi Balama ,...
Ligi Kuu

Udhaifu wa AISHI MANULA huu hapa.

Jana kulikuwa na mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga , mechi ambayo ilimalizika kwa timu zote kutoka sare ya magoli 2-2 , sare ambayo ilionekana kutopokelewa vizuri na mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga kuonekana kuipokea vizuri. Na moja ya lawama ambazo zinaongelewa sana ni...
Ligi Kuu

Wachezaji watatu waliobeba YANGA, Tshishimbi BABA LAO !

  Nyasi za uwanja wa Taifa zilishuhudia wanaume wawili wakigawana alama moja kwa moja katika mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya magoli mawili , magoli ya Simba yalifungwa na Meddie Kagere , Deo Kanda huku magoli ya Yanga yalifungwa na Balama Mapinduzi na Mohammed Banka. Hawa ni wachezaji watatu ambao...
Ligi Kuu

Wachezaji wanne wa SIMBA waliocheza chini ya kiwango jana

Hatimaye Kariakoo Derby imeisha , imeisha katika mazingira ambayo yalikuwa ni mazingira sahihi kwa kila upande , sare ilikuwa sahihi kwa timu mbili , lakini pamoja na upatikanaji wa ile Sare , kuna baadhi ya Simba wachezaji wa Simba ambao walikuwa wanacheza maeneo muhimu hawakuwa kwenye kiwango bora. MEDDIE KAGERE...
1 2 3 4 5 61
Page 3 of 61
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz