Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Blog

Molinga na Luc Eymael waenda Shinyanga kumvaa Mkwasa

Kwa mujibu wa David Molinga , Charles Boniface Mkwasa hampendi David Molinga . Kauli hii aliitoa David Molinga baada ya kuachwa kwenye kikosi cha Yanga kilichoenda Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga. Baada ya Charles Boniface Mkwasa ambaye ni kocha...
Blog

Mkwasa hanipendi – DAVID MOLINGA

Kumekuwa na hali ya kutoelewana kati ya mshambuliaji wa Yanga kutoka Congo , David Molinga pamoja na kocha msaidizi wa Yanga , Charles Boniphace Mkwasa. Kwa mujibu wa David Molinga ambaye amekiri kuwa anaonewa kwa kiasi kikubwa na kocha huyo tangu timu yao irudi mazoezini. "Kocha ananiambia sina fitness ,...
Blog

Kocha wa Azam FC atua rasmi kuwaua Simba

Msimu wa ligi hapa nchini unarudi tena baada ya kusimama kutokana na janga la Covid-19 ambalo liliikumba dunia kwa kiasi kikubwa na kusababisha shughuli mbalimbali zisimame zikiwemo shughuli za michezo. Serikali ya Tanzania imeshatangaza rasmi kuanzia jana tarehe 1/06/2020 kuwa ligi mbalimbali zinaweza zikaanza , na bodi ya ligi imeshatangaza...
Blog

Simba na Yanga hawana hela ya kumlipa Shongaa

Kocha wa klabu ya Yanga Luc Eymael amethibisha kuwa alifanya mawasiliano na wakala wa nyota wa Orlando pirates, Justin Shonga ili kuangalia uwezekano wa kumsajili. Akizungumza na Jarida la michezo la Kick Off Magazine la Africa Kusini, Eymael alisema kuwa kikwazo kikubwa kilichokwamisha dili la kumsajili nyota huyo wa kimatafa...
Blog

CLATOUS,KAHATA KUTUA WIKI IJAYO,SHARAAF BADO.

Kocha mkuu mkuu wa klabu ya Simba Sc Sven Vandenbroeck ameweka wazi kuwa wachezaji Clatous Chama ambae yupo Zambia na Francis Kahata ambae yupo Kenya watatua nchini wiki ijayo huku Sharaaf Shiboub ambae yupo Sudan akiendelea kusubiri mipaka ya nchini kwao Sudan ifunguliwe Sven amesema viungo hao nchi zao Zambia...
1 2 3 4 5 6 71
Page 4 of 71
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz