Sababu tatu kwanini Ronaldo anaweza kutolewa UEFA
Mpaka sasa ana goli moja tu katika mechi tano alizocheza msimu za ligi ya mabingwa barani ulaya.
Mpaka sasa ana goli moja tu katika mechi tano alizocheza msimu za ligi ya mabingwa barani ulaya.
Kocha huyo ambaye aliipandisha timu kutoka ligi daraja la kwanza mpaka ligi kuu msimu huu amefukuzwa kazi baada ya timu yake kufungwa goli 6-1 na Azam FC.
Kamati ya Nidhamu ya TFF imebaini kuwa Abdalah Shaibu Ninja alimpiga kiwiko beki wa Coastal Union katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.
Jana kulikuwa na mechi ambayo ilikuwa na ushindani….Stori zaidi.
Simba wanatakiwa kupokea ugumu huu kama mtihani ambao wanatakiwa kuufaulu kwa lazima. Ndiyo maana nawasisitiza kuwa milima ipo kwa ajili ya kupandwa.
Kila mtu ana jicho lake, jinsi anavyokiona kikosi cha Amunike. kuna wanaoona kikosi kimesheheni mabeki watupu, kuna wanaoona kikosi kiliwahitaji baadhi ya nyota ambao hawakuitwa. Lakini jambo pekee la msingi la kushika ni kwamba UKOCHA NI TAALUMA.
Mpaka sasa hivi hawana uhakika wa kuchukua kombe jingine baada ya wao kuchukua kombe la ligi ya mabingwa dunia.
Mwinyi Zahera amedai kuwa hajawahi kusema Yanga itabeba kikombe chini ya mikono yake kwa sababu timu yake haina uwezo huo.
Yani timu itoke Dar, baada ya siku tatu inatakiwa icheze mechi Iringa, baada ya siku tatu inatakiwa icheze mechi Shinyanga.Itoke Shinyanga, iende Dar tena kucheza mechi. Unacheza ndani ya muda mfupi bila mapumziko kwa wachezaji
“lakini kikubwa niseme kuwa kwamba, Mimi napenda waamuzi wawe wanaangalia, tumenyima takribani penalti tatu”.