Kuukataa U-UNDERDOG kumewaponza Simba
Simba ilipoteza vibaya mchezo wake dhidi ya AS VITA Club hapo jana.
Simba ilipoteza vibaya mchezo wake dhidi ya AS VITA Club hapo jana.
Kuna aina ya wachezaji wawili uwanjani. Aina ya kwanza ni mchezaji bora na aina ya pili ni mchezaji muhimu. Hawa wote hukaa kwenye timu moja.
Kandanda inakupa utabiri wa mechi na sababu zake, kutana na Martin Kiyumbi,akikusaidia kupata hela leo.
Kesho Klabu ya Simba itacheza na Association Sportive Vita ( As Vita) katika uwanja wa Stade des martyrs wenye uwezo wa kubeba mashabiki 80,000.
Okwi amekuwa msaada mkubwa kwa klabu ya Simba na soka la Tanzania wakati wote akicheza hapa.
Je ni dalili ya viongozi na wajumbe wengine kuanza kurudi?
Leo hii mwenyekiti wa uchaguzi wa TFF, ametangaza rasmi kusimamisha uchaguzi wa klabu ya Yanga ambao ulipangwa kufanyika tarehe 13/1/2019.
Kuna vingi vya kukumbuka sana kwenye dunia yetu hii ya mpira. Dunia ambayo haijawahi hata siku moja kupata mwanga.
Uchaguzi wa Yanga umeshafikia hatua nzuri sana. Hatua ya kampeni. Hatua ambayo viongozi hutumia lugha ya ushawishi kwa wanachama.
Hata mtangulizi wa Mwinyi Zahera, George Lwandamina alidumbukia kwenye huba sema viongozi ndiyo waliosababisha aondoke.