Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Ligi Kuu

Kikosi bora chá VPL cha wachezaji waliosahaulika!

Ligi Kuu Bara imeshapata bingwa tayari huku tukisubiri watakaoshuka daraja na kuwapisha waliopanda daraja KMC, JKT Tanzania, Coastal Union, African Lyon, Biashaara na Allience School. Baadhi ya wachezaji waliopo katika timu zilizopo katika nafasi za juu (Simba, Yanga na Azam ) wamepigiwa  chapuo kua katika kikosi bora na kugombea tuzo...
Ligi Kuu

Mechi zilizoipa Ubingwa Simba!

Baada ya kipigo cha magoli mawili kwa sifuri walichokipata Yanga kutoka kwa Tanzania Prisons katika dimba la Sokoine jijini Mbeya ni rasmi sasa SimbaSc ndio mabingwa wa Tanzânia Bara. Baada ya kuukosa ubingwa kwa takribani miaka mitano msimu huu wa 2017/2018 SimbaSc inafanikiwa kuutwaa ubingwa huo huku ikiwa na michezo...
Blog

Ibrahim Ajibu “Ibra Cadabra” kama Zlatan Ibrahimovic tuu!

Ibrahim Ajibu Migomba ni kama ameweka rekodi ya wajina wake Zlatan Ibrahimovic ambae kwa sasa yupo Marekani katika Major League Soccer (MLS). Uhamisho wa Zlatan Ibrahimovic kutoka Inter Milan kwenda FC Barcelona ni kama alipishana na kombe lá Ligi Ya Mabingwa Ulaya baada ya Inter Milan kubeba kombe hilo na...
Ligi Kuu

Tazama jinsi AzamFc ilivyoipa ubingwa Simba Sc!

Simba Sc inakaribia kuchukua ubingwa wa Tanzania Bara huku baada ya kuukosa takribani miaka mitano wakisaliwa  na michezo mitatu pekee wakihitaji alama mbili tuu. Wamebakiwa na michezo miwili ugenini (dhidi ya Singida utd na Majimaji ya Songea) na mchezo mmoja nyumbani dhidi ya Kagera Sugar. Mpira wa kisasa wanasema unahitaji...
Ligi KuuUhamisho

Ukiwataka nyota hawa 10 wa VPL ni bure kabisa!!

Ligi Kuu Bara inaelekea mwisho huku SimbaSc wakiwa katika nafasi nzuri ya kunyakua ubingwa. Achana na ligi kuelekea mwishoni, ligi nyingine ya usajili inatarajiwa kuanza hivi karibuni. Ubabe wa pesa, nguvu ya ushawishi na kukomoana vinatarajiwa kuanza tena kuelekea usajili wa wachezaji kwaajili ya msimu ujao wa ligi yaani 2018/2019!...
Ligi Kuu

Mambo matano niliyoyaona katika ushindi wa Simba vs Yanga

Simba walijiandaa kushindi mechi. Katika mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga jana 29/04/2018 katika uwanja wa Taifa Dar es salaam, umati mkubwa wa mashabiki ulikuwa ni wa Wekundu wa Msimbazi ambapo walifanikiwa kujaza uwanja kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na wapinzani wao Yanga. Hii iliashiria Simba kujiamini kuwa wapo imara...
Ligi Kuu

Rekodi walioiweka Simba baada ya kuifunga Yanga Sc

Klabu ya soka ya Simba Sc maarufu kama Wekundu wa Msimbazi jana walifanikiwa kuwafunga watani wao Yanga Sc bao moja kwa bila lililofungwa na Erasto Edward  Nyoni katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Baada ya ushindi huo Simba imezidi kujisogeza katika kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Pia...
Blog

Ningeipanga hivi timu ya Simba katika mchezo na Yanga!

Simbasc ndio kinara wa ligi ikiwa na point 58 wakifwatiwa na Yanga yenye point 47 huku ikizidiwa michezo miwili na Simba. Baada ya kuukosa ubingwa kwa takribani miaka 5 klabu ya Simba ina nafasi nzuri ya kua bingwa katika msimu huu kutokana na form nzuri walionayo. Benchi la ufundi la...
1 58 59 60 61 62 66
Page 60 of 66