Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Zahera siyo kocha wa Gwambina FC

Kuliripotiwa habari za urejeo wa aliyewahi kuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga , Mwinyi Zahera katika ligi yetu. Mwinyi Zahera aliwahi kuhudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja kwenye ligi kuu akiwa kocha mkuu wa Yanga. Picha zilienea zikimuonesha Mwinyi Zahera akiwa na viongozi wa Gwambina FC , timu ambayo...
Blog

Kiungo wa Simba atimkia Kagera Sugar

Unaukumbuka ule utatu mtakatifu wa Shiza Ramadhani Kichuya, Mzamiru Yassin na Mohammed Ibrahim ? Utatu huu ulikuwa chini ya kocha Joseph Omong. Lakini mpaka sasa hivi utatu huu umeshavunjika. Waliopo kwenye kikosi cha Simba ni wawili tu, Shiza Ramadhani Kichuya pamoja na Mzamiru Yassin na wote wanaonekana hawana nafasi ya...
Blog

Yanga kushiriki ligi ya mabingwa barani Africa?

Kwa mujibu wa taratibu za shirikisho la mpira wa miguu barani Africa , CAF nchi 12 zenye ligi bora hutoa timu 4 kwenye mashindano ya vilabu ya CAF , yani ligi ya mabingwa barani Africa pamoja na kombe la shirikisho barani Africa. Msimu wa mwaka 2019/2020 Tanzania ilifanikiwa kuwa kwenye...
Blog

Manara na Zaka wanatafuta KIKI kupitia YANGA

Jana Azam FC kupitia kwa mkuu wa kitengo cha habari cha Azam FC , Zaka za Zakazi walielezea kitu ambacho wao wamekiona kama uhuni unaofanywa na Yanga. Zaka za Zakazi alidai kuwa wakati Yanga wanaleta barua ya kumtaka Salum Abubakary "SureBoy" walimtuma mwanachama wa Yanga kitu ambacho ni kizuri. Lakini...
Blog

Luc Eymael afungiwa miaka miwili

Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Luc Eymael amefungiwa na TFF kutofundisha mpira nchini Tanzania kwa muda wa miaka miwili kutokana na kauli za kibaguzi. TFF pia imetoa adhabu ya faini ya jumla milioni nane kwa kocha huyo wa zamani wa Yanga. Mpaka sasa hivi Yanga wameshaachana na...
1 2 3 4 5 6 77
Page 4 of 77
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz