Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Morrison akamatwa na Polisi

Mshambuliaji wa Yanga leo amekamatwa na jeshi la polisi baada ya kukutwa na kosa ambalo lilisababisha akamatwe. Taarifa hii imedhibitishwa na kamishna msaidizi mwandamizi wa jeshi la polisi na kamanda wa polisi Kinondoni. Kamishna msaidizi mwandamizi wa jeshi la polisi na kamanda wa polisi Kinondoni Rodgers Bukombe amesema "Morrison alikamatwa...
Blog

FIFA kumfungia Luc Eymael ?

Baada ya maneno machafu ambayo yalionekana kuwaudhi wapenzi wengi wa mpira hapa nchini kutoka kwa Luc Eymael , mambo yameanza kuonekana kuwa magumu kwake kutokana na kuanza kupitia changamoto mbalimbali. Yanga wamemfuta kazi mpaka sasa hivi. Jana pia shirikisho la mpira Afrika Kusini limemfungia kufundisha  mpira katika nchi ya Attila...
Blog

Naipenda Yanga – MWINYI ZAHERA

Jana Yanga walimfukuza kazi kocha wao mkuu , Luc Eymael. Baada ya Luc Eymael kufukuzwa maneno yamekuwa mengi kuhusiana na kocha ambaye anatajwa kwa ajili ya kuchukua nafasi yake. Yanatajwa majina mengi kuja kuchukua nafasi ya Mbelgiji huyo.  Kocha wa zamani wa Simba , Patrick Aussems anatajwa kwenye orodha hiyo...
Blog

Msimu ujao SIMBA wasimtegemee WAWA

Mechi ya mwisho ya ligi kuu  Simba walikuwa wanacheza na Coastal Union katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga ambapo timu zote zilitoka suluhu , katika mchezo huo tukio kubwa lilikuwa la beki wa Simba , Pascal Wawa kupewa kadi nyekundu. Pascal Wawa alipewa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya mshambuliaji...
Blog

Nifukuzeni Yanga – Mwakalebela

Makamu mwenyekiti wa Yanga , Fredrick Mwakalebela amedai kuwa amechoshwa na maneno mengi yanayotokea ndani ya klabu hiyo, maneno ambayo yanarushwa kwake kila uchwao. Hali ambayo imemchosha mpaka kufikia hatua ya kulia. Akiongea na kituo cha WASAFI FM huku akilia , Fredrick Mwakalebela amedai kuwa ameanza kuandamwa tangu zamani ila...
Blog

Mkwasa afukuzwa Yanga !

Kocha wa Yanga, Luc Eymael amemuondoa kikosini msaidizi wake, Boniface Mkwasa na kocha wa makipa, Peter Manyika wakati wakijiandaa kuikabili Mtibwa jioni ya jana mjini Morogoro. Luc Eymael licha ya kutoweka wazi sababu alitamka jana wakati anazungumza na waandishi wa habari kuwa . “Mimi ni Kocha mwenye weledi.Nimewaacha na kwenda...
Blog

Morrison hatumtambui- Bumbuli

Baada ya Bernard Morrison kuonekana kwenye viwanja vya mazoezi akiwa na timu yake ya Yanga , maswali mengi yalizidi kuibuka kwa wadau wa soka nchini . Moja ya swali kubwa ni kama Yanga walimsamehe Bernard Morrison ambaye walikuwa wamemsimamisha kutokana na utovu wa nidhamu. Mtandao huu wa kandanda.co.tz uliamua kumtafuta...
1 3 4 5 6 7 77
Page 5 of 77
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz