Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Tetesi

Hatimaye Ozil huyoo…

Kiungo mjerumani na anayelipwa mshahara mrefu zaidi ndani ya washika mitutu wa London,Arsenal, Mesut Ozil yuko sokoni kwa sasa, na muda wowote huenda akatimkia kusiko julikana.
Mabingwa Afrika

Simba kwa Nkana inahitaji vitu vikuu vinne, hivi hapa.

Miongoni mwa mechi ambazo haziji kusahaulika barani ulaya na duniani kwa ujumla ni mechi ya raundi ya 16 bora klabu bingwa barani ulaya iliyochezwa Machi 8, mwaka 2017 kati ya Barcelona na Paris-Saint Germain. Ilikuwa ni mechi ya marudiano baada ya ile ya kwanza iliyochezwa pale ufaransa na PSG kuibuka na ushindi wa magoli 4-0, katika mchezo huo wa marudiano pale Nou Camp Barca waliibuka na kitita cha magoli 6-1, na kuwasukuma nje ya mashindano PSG.
Blog

Mourinho na Zahera ni mapacha wasiofanana.

Katika ulimwengu wa Soka, ukisikia jina la “Jose Mourinho” kuna picha nyingi zinakujia kichwani, napicha hizo zinategemeana na jinsi unavyomkumbuka mreno huyo kwa kile alichoifanyia timu yako au kwa jinsi unavyolijua soka la dunia tangu akiwa Fc Porto na vilabu vingine.
Blog

Samatta kukutana na Slavia Prague, ligi ya Uropa.

Klabu ya soka ya KRC Genk anayocheza mtanzania Mbwana Ally Samatta imepangwa kucheza na Slavia Prague ya Jamhuri ya Cheki katika hatua ya 32 ya michuano ya Europa Ligi. Genk ambayo ilimaliza kinara wa kundi I ambalo lilikuwa na timu ngumu kama Malmo na Beskitas imepangwa kukutana na miamba hiyo...
1 56 57 58 59 60 85
Page 58 of 85