Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Mabingwa Ulaya

Kiatu cha mfungaji bora klabu bingwa Ulaya nampa huyu hapa.

Ikiwa ni hatua ya 16 bora ya mashindano ya klabu bingwabarani Ulaya, tukishuhudia vilabu vyaAjax, Atletico, Barcelona, Bayern Munich, Dortimond, Juventus, Liverpool naLyon zikifuzu kwa kuongoza katika makundi yao huku Man City, Man U, PSG, Porto, Real Madrid,Roma, Schalke na Tottenham nazo zikiungana katika hatua hii zikiwa katikanafasi ya pili.
Blog

Chirwa kuanza kuichezea Azam raundi ya pili.

Klabu ya soka ya Azam imewapa mapumziko wachezaji wake hadi Jumatatu watakapoingia kambini rasmi kujiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Wanatam Tam Mtibwa Sugar, Disemba 29 mwaka huu kwenye uwanja wa Manungu Complex mkoani Morogoro. Kubwa zaidi kuelekea katika mchezo huo ni kuwepo kwa mchezaji wa kimataifa Obrey Chirwaambaye...
Blog

Donnarumma aweka rekodi ya ajabu Seria A.

Mlinda Mlango wa timu ya soka ya AC Milan Gianluigi Donnarumma ameweka rekodi ya aina yake kwa kuwa mchezaji wa kwanza kwenye ligikuu nchini Italy ‘Seria A’ kucheza michezo 100 mfululizo kwa dakika zote 90 akiwa na umri wa miaka 19 pekee. Donnarumma ameweka rekodi hiyo ya kipekee wakati akiitumikia...
Blog

Chelsea kuipitia video ya tukio la ubaguzi wa rangi kwa Raheem Sterling.

Klabu ya Chelsea imesema itapitia tena video inaonesha mashabiki wake wakimtupia maneno winga wa Manchester City Raheem Sterling, maneno ambayo yanadhaniwa kuwani ya kibaguzi wakati wa mchezo wao jana Jumamosi. Katika video hiyo iliyowekwa kwenye mitandao ya kijamii inaonesha Mashabiki wa Chelsea wakitoa maneno makali kwa Sterling wakati akienda kuokota...
Blog

Wagombea wa Yanga hawa hapa

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza majina yaliyopitishwa kwenye usaili wa Wagombea Uongozi wa Klabu ya Young Africans. Usaili umefanyika kwa siku 3 Alhamis Novemba 6,2018,Ijumaa Novemba 7,2018 na Jumamosi Novemba 8,2018 Makao Makuu ya TFF Karume,Ilala. Nafasi ya mwenyekiti Wagombea waliochukuwa na kurudisha...
1 57 58 59 60 61 85
Page 59 of 85