FIFA yakazia hukumu ya TFF, Wambura apigwa jela ya maisha.
Hukumu hiyo ya kamati ya maadili ya FIFA inaelezwa kukazia ile hukumu ya kamati ya rufaa ya TFF
Hukumu hiyo ya kamati ya maadili ya FIFA inaelezwa kukazia ile hukumu ya kamati ya rufaa ya TFF
Yanga imepoteza michezo miwili mfululizo, wa ligi kuu mmoja na kombe la sportpesa mmoja.
Tayari ndege za uokozi tano, pamoja na boti mbele zimejielekeza kuitafuta ndege hiyo kuzunguka sehemu ambayo ilipoteza mawasiliano.
Mghana huyo ni mzoefu na ligi hiyo. Alikiepo hapo akiwa na klabu ya Las Palmas.
Ambundo kwa mwezi huu ameshafunga magoli 4 na anachuana vikali na Aiyee wa Mwadui FC
Yanga ilipoteza mechi yake ya kwanza msimu huu mbele ya Stand United.
Bao pekee la Stand United limefungwa na Jacob Massawe katika dakika ya 88,
Lipuli FC wamepata alama zote tatu wakicheza ugenini dhidi ya Wanatamtam Mtibwa Sugar.
Nahodha Jacob Masawe ndie aliepeleka kilio Jangwani.
Alliance wanashuka dimbani jumapili hii kucheza na Mbeya City kwenye uwanja wa Nyamagana wakitoka kupata alama moja dhidi ya Tanzania Prisons baada ya sare ya bao 1-1