CECAFA

CECAFA

Tukikosacho kipo Zanzibar

Mwisho wa kila safari huwa kuna funzo kubwa ndani yake, na binadamu siku zote huimarika na kuwa bora kupitia mafunzo tunayoyapata katika safari zetu kwenye maisha. Safari ya michuano ya kombe la nchi wanachama wa Afrika Mashariki (CECAFA) iliisha jana kwa kushuhudia Kenya ikichukua kombe lile. Kenya kuchukua kombe lile...
CECAFA

Zanzibar anzeni hapa ndipo nitawasifia na mimi

Michuano ya CECAFA inaendelea kwa kuzikutanisha timu za taifa za wakubwa za nchi wanachama na nchi waalikwa kutoka kanda tofauti na ukanda ukanda huu wa CECAFA. Michuano ambayo inahistoria kubwa sana katika ukanda wetu huu wa Afrika Mashariki na Kati na Afrika kwa ujumla. Ndiyo mashindano yenye umri mrefu, kitu...
CECAFA

Mudathir Yahya anapotupa maana ya mchezaji wa mkopo

Nimetazama Singida United. Nimeitazama Taifa Stars na sasa naitazama Zanzibar Heroes kule Kenya, kote huko namuona kijana mmoja wa kuitwa Mudathir Yahya akifanya kazi ya kiume katikati mwa uwanja. Mudathir anapokuwa katika ubora huu, ni ngumu kumzima. Aliwahi kuniambia moja ya rafiki zangu ambaye kesho anakutana uso kwa uso na...
Ligi

Ninje Aisifu Kilimanjaro Stars, Mbarak Kuikosa Zanzibar Heroes

Kocha Mkuu wa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Conrad Ninje amepanga kesho Jumanne Desemba 5, 2017 kuanza kufanyia kazi upungufu ulioonekana kwenye mchezo dhidi ya Libya  uliofanyika Jumapili Desemba 3, mwaka huu. Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Kenyatta ulioko Machakos hapa nchini Kenya, Tanzania Bara ilipata sare katika safari...
CECAFA

Hiki ndicho kikosi cha Kilimanjaro Stars

Kilimanjaro Stars - Timu ya Taifa ya Tanzania Bara kesho Jumapili Desemba 3, 2017 itacheza na Libya katika mchezo wa pili wa michuano ya kuwania Kombe la CECAFA - linaloandaliwa na Baraza la Soka la Afrika Mashariki. Mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Machakos, utaanza saa 10:00 jioni (1600h) mara baada...