Mapinduzi Cup

Mapinduzi Cup

Yanga sasa wasema walidhamiria kushinda Mapinduzi

Yanga yaishukuru SMZ kwa kuandaa mashindano ya Mapinduzi. Hapo kabla mhamasishaji wa klabu hiyo alinukuliwa akisema Yanga haina shida na makombe. Kwa barua hii inamaanisha kuwa mhamasishaji huyo ulimi uliteleza. Yanga ilitolewa kwa mikwaju ya penati dhidi ya Mtibwa. Fainali ya Mapinduzi itapigwa kati ya Simba Sc na Mtibwa Sugar...
Mapinduzi Cup

Simba kupeleka kikosi kamili Mapinduzi Cup.

Klabu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imethibitisha kushiriki mashindano ya Mapinduzi Cup yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari Mosi mwaka huu kwa kupeleka kikosi kamili. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara amesema watapeleka kikosi kamili na watayatumia mashindano hayo kama sehemuya...
Mapinduzi Cup

Azam fc yatetea ubingwa wake

Klabu ya Azam fc imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa kombe la mapinduzi, baada ya kuilaza URA kwa penati 4-3 kufuatia matokeo ya sare ya 0-0 katika dakika 90 za kawaida Katika mchezo huo ulioamuliwa na mwamuzi Mfaume Nassor aliyesaidiwa na Mbaraka Haule na Dalila Jaffary, ukihudhuliwa na Rais wa Zanzibar...
Mapinduzi Cup

Yanga yaizima Zimamoto 1-0

Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, imeendeleza ubabe wake katika michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kuitandika Zimamoto kwa bao 1-0 kwenye wa kundi B uliopigwa usiku huu kunako uwanja wa Amani, mjini Zanzibar Bao la Yanga limefungwa na kiungo wake wa ushambuliaji Emmanuel Martin kunako dakika ya...
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.