Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon Roger Milla anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi goli katika michezo ya fainali ya kombe la Dunia
Mchezaji wa zamani wa AC Milan na Liberia George Weah ndio mchezaji pekee kutoka Afrika kuwahi kunyakua tuzo ya Ballon d'or. Weah ambae kwasasa ni Rais wa Liberia alitwaa tuzo hiyo mwaka 1995, mpaka sasa hakuna Mwafrika yoyote hata aliyekaribia kutwaa tuzo hiyo kubwa duniani kwa upande wa Kandanda.
Lakini siyo Kidunda peke yake wapo na wakali wengine ambao watapanda ulingoni kuonyesha ufundi wa mchezo wa ngumi, raia yetu bado tunaomba wapinzani wajitokeze kwa wingi