Kati ya timu 8 zilizofuzu, hakuna timu hata moja iliyopata ushindi katika michezo minne isipokuwa Esperance De Tunis ya Tunisia. Esperance katika kundi B imejikusanyia jumlaya alama 14 ikishinda michezo yote mitatu ya nyumbani na mmoja wa ugenini dhidi ya FC Platinum na kupata sare mechi mbili dhidi ya Horoy
Shirikisho la soka nchini Rwanda (FERWAFA) limethibitisha kuialika….Stori zaidi.
Shirikisho la soka barani Afrika limetupilia mbali ombi….Stori zaidi.
Timu ya Taifa ya Uganda jana jumatatu asubuhi….Stori zaidi.
Kocha wa timu ya Taifa ya Italia, Roberto….Stori zaidi.
Anakua moja ya wachezaji wenye umri mdogo kabisa kuweza kuhusika kuivusha klabu yake hatua ya makundi na kufika robo fainali.
Kampuni hizo zilikua zinasubiri tu Simba ifuzu hatua ya robo fainali.
Beki wa kati Gilchrist Nguema ameenguliwa katika kikosi….Stori zaidi.
Nyoni kuna funzo katupa jana kwa kiwango chake kazi kwetu kuamua kujifunza au kujifanya hatujaona kitu tukumbuke shukakumekucha.
Amepiga “successful tackle” moja, alitumika kama winga wa kushoto. Pale alipopata nafasi ya kushambulia, alifanya hivyo na alileta madhara, ndio maana ya goli lake. Anastahili kupata alama alizo zipata