Hivi David Mwantika aliondoka na Amunike?
Baada ya uteuzi wa mwalim Amunike wa kumpa nafasi Mwantika kuziba pengo la Morris wadau wengi walikosoa uteuzi wake.
Baada ya uteuzi wa mwalim Amunike wa kumpa nafasi Mwantika kuziba pengo la Morris wadau wengi walikosoa uteuzi wake.
Alitupa furaha ambayo tulikuwa tunaisubiri kwa muda mrefu….Stori zaidi.
Mpaka sasa unajua kuwa Stars ya Ettiene imefunga magoli mawili tu katika dakika 90 katika mechi tano.
Nigeria imetolewa katika hatua ya nusu fainali na timu ile ile iliyomfanya kibarua kiote nyasi.
Uitwaji wa Kikosi cha Stars na jinsi kikosi hicho kinavyocheza, wadau wa soka wamekuwa wakimlaumu Amunike, na wengine kusema ilibidi aondoke baada ya kufuzu tu. Je hiki kisa unakikumbuka?
Wachezaji 32 wapo kwenye Kambi huko Misri ambapo watachujwa na kubaki wachezaji 23 kwaajili ya mashindano ya AFCON.
Miraj Athuman, jezi namba 7 miongoni mwa namba maarufu duniani, ndiyo anayoivaa akiwa katika klabu yake ya Lipuli Fc.
Tanzania ipo kundi C na Timu za Algeria, Senegal na Kenya.Itaanza kibarua chake kwa kutupa karata dhidi ya Senegal.
Amunike aliulizwa anamaoni gani kwa uwezekano wa Tanzania kupangwa na timu yake ya taifa ya Nigeria.
Kila mtu ana jicho lake, jinsi anavyokiona kikosi cha Amunike. kuna wanaoona kikosi kimesheheni mabeki watupu, kuna wanaoona kikosi kiliwahitaji baadhi ya nyota ambao hawakuitwa. Lakini jambo pekee la msingi la kushika ni kwamba UKOCHA NI TAALUMA.