EPLLa LigaMabingwa UlayaSerie AEngland ndiye mfalme wa Ulaya.Issack John5 years agoKwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya...
Mabingwa UlayaImebaki Barcelona tu, historia iandikwe.Issack John5 years agoInawezekana baada ya vilabu vya Uhispani kutawala kwenye ligi ya Mabingwa Ulaya kwa zaidi ya mwongo mmoja kwenye hatua ya...
BlogWakina Solskjaer wamchefua Rais wa UEFA.Issack John5 years agoRais wa Shirikisho la soka Barani Ulaya (UEFA) Aleksander Caferin amehuzunishwa na kitendo kilichofanywa na makocha wa timu kubwa barani...
La LigaUhamishoBarcelona yasajili MghanaThomas Mselemu5 years agoMghana huyo ni mzoefu na ligi hiyo. Alikiepo hapo akiwa na klabu ya Las Palmas.
BlogHatimaye Tottenham yavunja rekodi hii ya Barcelona.Sekwao Mwendi5 years agoKama wewe ni mfuatiliaji wa soka barani ulaya bila shaka,utakuwa unaijua Barcelona, klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa barani ulayana duniani kwa ujumla.
BlogLa LigaVidal atoa la moyoni, hafurahii kukaa benchi.Issack John5 years agoKiungo Raia wa Chile anayekipiga katika timu ya soka ya Barcelona na nchini Uhispania Arturo Vidal amesema hafurahii kuwekwa benchi...
Mabingwa UlayaLiverpool ‘yafa’ Italia, Barcelona safi! PSG 6!Thomas Mselemu5 years agoKundi A Atletico Madrid 3 - 1 Club Brugge Borussia Dortmund 3 - 0 Monaco Kundi B PSV Eindhoven 1 - 2 Inter Tottenham Hotspur 2 - 4...
BlogBartomeu amfungulia milango Guradiola kurejea Camp Nou.Issack John5 years agoRais wa klabu ya soka ya Barcelona Josep Maria Bartomeu amesema mlango upo wazi kwa kocha Pep Guardiola kurejea tena...
BlogEto’o: Messi ni mchezaji bora wa dunia wa muda wote.Issack John6 years agoMshambuliaji wa zamani wa Barcelona Samuel Eto’o amesema Lionel Messi ndiye mchezaji bora wa soka wa muda wote licha ya...
BlogRonaldinho kuoa wanawake wawili kwa mpigo katika jumba lake mjini RioIssack John6 years agoMwanakandanda mashuhuri Ronaldo de Assís Moreira maarufu kama Ronaldinho anatarajia kuoa wanawake wawili kwa pamoja katika jumba lake la kifahari...