Simba ilifikiria kuwasaini wachezaji kama Watler Bwalya, Jakaka Tuyisenge, Jean Mundele Makussu lakini wamewakosa wote hao labda ndio maana wamekimbilia Brazil.
Anaitwa Gerson Fraga Vieira (kazaliwa tarehe 4 Oktoba 1992), unaweza muita Gerson pia, ni Mbrazili anayecheza soka la kulipwa nchini India katika klabu ya ATK, akicheza nafasi ya beki.