Manara ataja timu atakayokwenda Morrison.
Kila lakheri huko uendako, kwa taarifa nilizozipata mida hii najulishwa unaelekea klabu kubwa Barani Afrika
Manara: Nitaachana na usemaji!
Wakati ukifika nitaitisha press na ntaeleza kila kitu.
Manara: Inonga bonge la beki.
Kuna wakati anafanya jambo ili awafurahishe mashabiki,
Manara: Mwamuzi alikua hovyo!
Maamuzi yake mawili ni ya hovyo ila yanabeba dhana kuu ya baadhi ya waamuzi wetu ya kupenda "kubalance" mambo uwanjani.
Haji Manara awapa makavu Yanga!
Wenzenu tunajiandaa ila nyie bado mnakatika masebene huko Kalemie Usisahau derby yetu ni tarehe 18 Oktoba,
Manara na Zaka wanatafuta KIKI kupitia YANGA
Jana Azam FC kupitia kwa mkuu wa kitengo cha habari cha Azam FC , Zaka za Zakazi walielezea kitu ambacho...
Msimu ujao Yanga tutaifunga 10-HAJI MANARA
Msimu ujao Yanga Msimu wa soka Tanzania bara umekamilika baada ya kushuhudia mechi ya fainali ya Azam Federation Cup kati...
Mke wangu aliolewa na mwanaume mwingine-HAJI MANARA
Afisa habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwa sasa hana mke kwa sababu ameshaachana na aliyewahi kuwa mkewe na...
This Is Simba hakuanzisha Manara, nilianzisha mimi – Antonio Nugaz
Vita ya maneno inazidi kuendelea kati ya Afisa habari wa Simba , Haji Manara na Afisa Mhamasishaji wa Yanga...
Manara namzidi kila kitu mpaka elimu – Antonio Nugaz
Antonio Nugaz amezidi kujigamba na kujinasibu mbele ya mpinzani wake mkubwa kwa sasa Haji Manara.