Juma Kaseja: Aveva alikua mfanyakazi wangu!
"Ndio ulikua mwaka wangu wa kwanza Simba mchezo wa kwanza tulishinda moja bila hapa Tanzania halafu tukaenda Misri.
Kaseja Out, Manula ndani Challenge
Juma Mgunda ametaja kikosi cha wachezaji 22 watakokwenda kuiwakilisha Tanzania Bara katika michuano hiyo mikongwe Africa
Shamte apewe muda, yule Msuva hatari! Unamuelewa Mao?
Hii hapa mpwa wangu nimekuletea zawadi hii kutoka Bujumbura kuhusu wachezaji walivyocheza, twende sasa..
Manula anena kuhusu Kaseja na Kakolanya kuchukua nafasi yake.
akifanya vizuri kwa nafasi yake na mimi nitakuwa nimefanya vizuri, mimi nikifanya vizuri kwa nafasi yangu, naye atakuwa amefanya vizuri kwa kuwa wote lengo letu ni kuifikisha Simba kule inakokutaka..”
Kuna kisu kinasogea taratibu kwenye kisogo cha Manula.
Kwenye timu ya taifa kuna Juma Kaseja ambaye anaonekana ana njaa kubwa kwa kipindi hiki na kwenye timu ya Simba kuna Beno Kakolanya.
Mimi ni shabiki wa Mtibwa na siyo Simba-Juma Kaseja
Wakati watu wengi wakiamini Juma Kaseja ni shabiki wa Simba Sc kutokana na yeye kucheza kwa muda mrefu katika klabu hiyo ya Kariakoo.
Kaseja kakataa kuwa Kaseke, akakataa kuwa Singano, akabaki kuwa Kaseja
Sitaki kutaka maji mengi ya watu. Jikumbushe kuhusu Said Bahanuzi. Nani anajua aliko? Binafsi sijui kama kaacha soka au anafanya kazi gani.
Pazi : Mimi ndie Tanzania one
hata wakati tunaenda Nigeria kwenye Afcon mwaka 1980 nilikua kipa namba tatu lakini tayari nilishajipambanua kua kipa hatari."
KMC: Kukosekana kwa Kaseja hakutavuruga ushindi dhidi ya Azam.
Baada ya mchezo wa kanda ya ziwa dhidi ya Mwadui FC na kutoka sare ya bao 1-1, timu ya soka...
Kaseja: Yanga walistahili kushinda, lakini…!
NAHODHA wa KMC FC, Juma Kaseja alishuhudia Yanga SC wakigongesha nguzo mara tatu wakati wa pambano lao la ligi kuu...