Baada ya Nadri Haroub Ali “Cannavaro” kuagwa kwa heshima miaka michache ilyopita pale Jangwani alivyostafu basi angefuata Kelvin Patrick Yondani “Cotton”, ila mambo hayakuwa hivyo.
Kelvin Yondani na Luc Eymael hawapatani !Kuna ugomvi wa ndani Kati ya Kocha mkuu wa Yanga Luc Eymael na beki mkongwe wa Yanga Kelvin Yondani. Ugomvi huu umeanza baada ya mechi ya Yanga na Kagera Sugar.
KUELEKEA mchezo wao wa 18 msimu huu katika ligi kuu Tanzania bara msimu huu nahodha wa Yanga SC, Kelvin Yondan 'Vidic' amesema watapambana kama timu katika game yao vs Mbeya City FC wiki hii.