“Katika mechi hiyo tuiliibuka na ushindi wa goli 3-0, nilifunga goli la kwanza, na rafiki yangu Albert alifunga la pili, na goli la tatu ndilo goli lililowashangaza wengi, na mimi nikiwa ni miongoni mwao..”
Rekodi zake ndani ya klabu hiyo ni nzuri kwani alishawahi kuifungia klabu hiyo magoli 126 katika mechi 366 alizocheza kuanzia mwaka 1996 hadi mwaka 2007.