Rashid Juma wa Simba mikononi mwa Polisi
Rashid Juma ni zao la Simba B ambapo alifanya vizuri akiwa chini ya Mwalim Mussa Hassan Mgosi na kupelekea kupandishwa kikosi cha wakubwa kilichokua chini ya Patrick Auseems
Kichuya na Ajib kutemwa SIMBA
Baada ya Yanga kuachana na wachezaji 14 mahasimu wao wakubwa Simba nao wanampango wa kuachana na baadhi ya wachezaji katika kikosi chao.
Ni nusu fainali yenye gundu? -3
Waswahili hutumia neno "Gundu" kwa kuashiria bahati mbaya, kukosa bahati ama mkosi, ndicho unachoweza kusema kwa timu zote mbili Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa nusu fainali wa Azam Sports Federation Cup.
Baada ya Simba kufuzu, mchezaji Simba sc aweka rekodi ya kutisha
Anakua moja ya wachezaji wenye umri mdogo kabisa kuweza kuhusika kuivusha klabu yake hatua ya makundi na kufika robo fainali.
Mwalimu mzuri wa Chama ni ‘Ndemla na sio Mkude’.
Haya yote sio lazima ayasikie kutoka kwa Aussems ni lazima aujue mchezo kama mchezaji. Na hapa ndio utapata maana halisi ya maneno ya Meddie Kagere kuwa “Game Intelligence is better than age” na ndio maana kila siku Emmanuel okwi anaonekana kuwa mtu