Gaucho mshindi wa Ballon'dor pia hakusita kutoa ushauri wa wapi anadhani Mo Salah anatakiwa kwenda huku akisisitiza furaha ni muhimu kwake katika mchezo wa soka.
Ukiangalia mafanikio ya Brazil kwenye kikosi chao cha mwaka 2002 kulikuwa na wachezaji 8 ambao majina yao yanaanza na R hivyo huwa tunaita kizazi cha "R".