Manara ana “UONGO” mtamu
Hakuna ambaye alikuwa na uhakika wa kwenda kupata hata sare kwenye uwanja wa Taifa mbele ya Simba.
Hakuna ambaye alikuwa na uhakika wa kwenda kupata hata sare kwenye uwanja wa Taifa mbele ya Simba.
Kuna penzi tamu kama penzi la Emmanuel Okwi na timu ya Simba ?. Hapana shaka ni mara chache sana kuona wapenzi wa aina hii katika dunia ya leo.
Kipindi haya yote yanatokea, kumbe Msimamo wa TFF ulikuwa na kasoro, Kumbe Kagera Sugar ilibidi ndio wakacheze Playoff na Stand United Washuke daraja jumla jumla…Tff bhana we acha tu.
Viwanja vya Afrika huwa havina watazamaji wengi kiasi cha kuwatisha wageni. Yanga imezoea kucheza viwanja vya ugenini vyenye mashabiki waliojaa mpaka pomoni ligi kuu, hivyo si rahisi kutishwa na idadi kiduchu wa mashabiki wa Rollers.
Wanaweza wakawa wanacheza namba moja, lakini wanatofautiana katika namna ya uchezaji wao hasa wakati wa mashambulizi.
‘…tumejiandaa vya kutosha dhidi ya Kenema, na tulikuwa tukiangalia afya za wachezaji waliokuwa wamepata majeraha kidogo na naona kama wengi wako vizuri na tunamshukuru Mungu kwani tutakuwa na kikosi kamili..’
akifanya vizuri kwa nafasi yake na mimi nitakuwa nimefanya vizuri, mimi nikifanya vizuri kwa nafasi yangu, naye atakuwa amefanya vizuri kwa kuwa wote lengo letu ni kuifikisha Simba kule inakokutaka..”
“.. Simba hii ni kubwa kuliko mtu yeyote yule… Simba ni kubwa kuliko haji..siku nitakayoondoka atakayekuwepo apewe ushirikiano na wanasimba wote kwa sababu Simba sio mali ya mtu mmoja…
“kwetu mashabiki sio mchezaji wa 12 kama ulivyo msemo wa Kiswahili, bali ni mchezaji wa kila nafasi uwanjani, tunashinda, tuna kikosi bora lakini mashabiki wanachangia sana..”
Kandanda haijakuacha nyuma pia, kama ilivyo utaratibu wetu tutaendelea kukuletea ratiba, matokeo bila kusahau wafungaji bora wa kila mwezi wa Ligi Kuu.