Kwa mujibu wa kanuni, Lipuli hawakustahili.
Ongezeko ya timu karika mashindano itazipa nidhamu ya ushindani kwa timu zote katika mashindano yote mawili.
Ongezeko ya timu karika mashindano itazipa nidhamu ya ushindani kwa timu zote katika mashindano yote mawili.
Kwa upande fulani, hizi tambo za mashabiki wa Simba, Yanga inawabidi tu wavumilie. Kwakuwa walitakiwa kufanya vizuri katika miaka yote waliyoshiriki.
Michuano hiyo itafanyika katika nchi ya Rwanda ambapo Yanga atakuwa kama timu mwalikwa kwenye michuano hiyo.
Msimu wa 2019/2020 ni msimu wa burudani tele kwa wapenzi wa Kandanda nchini, hizi taarifa umezipokeaje? Tupe maoni yako
Mavugo alishindwa Simba kwa sababu mashabiki walimpa presha kubwa. Presha ambayo alishindwa kuimudu.
Klabu ya Simba ambayo itashiriki michuano ya ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao, inajiimarisha kuhakikisha inafanya vizuri zaidi.
Tovuti yetu imemkabidhi zawadi yake ya Galacha wa Magoli msimu wa 2018/2019, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wake katika upachikaji mabao.
Huwezi kuingia na kuishi kwenye dunia hii kama hujaruhusu akili kufikiria kibiashara, macho kuona kibiashara na masikio kusikia kibiashara.
Katika hafla hiyo iliyoambatana na futari imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kiserikali na watu maarufu huku mgeni rasmi akiwa ni Spika wa Bunge la Jamuhuri La Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Wanakandanda hawa wote walikuwa wa kwanza kutabiri mabao 23 ya Meddie Kagere.