KMC kamili kuivaa Stand United ugenini.
Kmc imetoka kumfunga Coastal bao 5 kwa 2.
Yanga waliamini wanastahili ushindi tu.
Yanga ilipoteza mechi yake ya kwanza msimu huu mbele ya Stand United.
Kauli ya Mwinyi Zahera baada ya kichapo kutoka kwa Stand United.
Bao pekee la Stand United limefungwa na Jacob Massawe katika dakika ya 88,
Yanga yafia Stand.
Nahodha Jacob Masawe ndie aliepeleka kilio Jangwani.
Kisa Bigirimana Blaise, Stand United wazitaka point tatu za Alliance.
Uongozi wa klabu ya soka ya Stand United umelitaka Shirikisho la Kandanda nchini kupitia Bodi ya ligi kuwapatia alama tatu...
Wanaume 22 wa Stand United watua Dar kuwaangamiza Azam.
Kikosi cha wachezaji 22 cha Stand United 'Chama la Wana' kimewasili salama Jijini Dar es Salaam Usiku wa kuamkia leo...
Simba mambo ni motoo yawajibu Yanga!
Wekundu wa Msimbazi Simba sc wameendeleza moto wao katika dimba lá Taifa jijini Dar és salaam baada ya kuigaragazaa vibaya...
Meshack Abel: Bado sijaona tatizo kwa waamuzi, ratiba ndiyo tatizo.
MLINZI wa kati wa Biashara United FC, Meshack Abel amesema licha ya ukosefu wa udhamini katika ligi kuu Tanzania Bara...
Ahh! kumbe ndio sababu ya Kitenge kutopewa mpira wake na TFF!
Baada ya gumzo kuzuka sana mitandaoni na baadhi ya vyombo ya habari, ikiwemo tovuti yetu, kuhusu suala la Mpira wa...
Kunyimwa mpira kwa Kitenge ni kichekesho kinachopaswa kuziamsha klabu ligi kuu na kuhoji kwa pamoja
Mchezo wa kwanza tu kuzalisha magoli mengi ndani ya dakika 90, Shirikisho la Soka nchini-TFF limeonyesha udhaifu mkubwa. Mshambulizi wa...