Ni mapema mno kumfukuza kocha wa Simba
Moja ya kelele ambazo kwa sasa zinapigwa na mashabiki wa Simba ni wao kutomtaka kocha wao mkuu wa sasa.
Moja ya kelele ambazo kwa sasa zinapigwa na mashabiki wa Simba ni wao kutomtaka kocha wao mkuu wa sasa.
Kelvin Yondani na Luc Eymael hawapatani !Kuna ugomvi wa ndani Kati ya Kocha mkuu wa Yanga Luc Eymael na beki mkongwe wa Yanga Kelvin Yondani. Ugomvi huu umeanza baada ya mechi ya Yanga na Kagera Sugar.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zilikuwa dakika nzuri sana kwa Polisi Tanzania . Dakika ambazo ziliwapa nguvu ya kuongoza kwa goli moja kwa bila huku wakikosa nafasi nyingi za wazi.
Walianza wao kufunga goli kipindi cha kwanza , goli ambalo liliwapa nguvu kubwa sana ya kutawala mchezo wa jana kwa dakika nyingi , Lakini dakika 5 za mwishoni zilileta maumivu na machozi.
Sifa yake kubwa ni kutembea juu ya….Stori zaidi.
Alitupa furaha ambayo tulikuwa tunaisubiri kwa muda mrefu….Stori zaidi.
Kwenye maandalizi ya msimu huu kwenye hafla kubwa….Stori zaidi.
Moja ya mechi kali ya ligi kuu Tanzania bara ilichezwa jana kwenye uwanja wa Taifa ambapo Simba iliifunga Namungo FC magoli 3-2.
Jana kulichezwa mechi Kali Kati ya Simba na Namungo FC. Kabla ya mechi hiyo Namungo FC walikuwa hawajawahi kupoteza hata mechi moja kwenye mechi tatu za mwisho walizocheza ugenini.
Washambuliaji Reliants Lusajo na Blaise Bigirimana ndio tishio zaidi kwenye kikosi cha Namungo ambapo kwa pamoja msimu huu wamefunga zaidi ya magoli 10.