As Vita kucheza na TP Mazembe CAF ?
Tuhuma nzito zashushwa dhidi ya klabu ya Simba Sc katika mchezo uliochezwa jijini Dar
Tuhuma nzito zashushwa dhidi ya klabu ya Simba Sc katika mchezo uliochezwa jijini Dar
Mshindi wa kwanza wa kundi alilokuwepo Simba, Al Alhly ya Misri imepangwa kucheza na Mamelod Sundows ya nchini Afrika Kusini
Tunahitaji mtu wa kulisha mbegu za kushambulia kwenye kikosi chetu cha timu ya Taifa ili tuweze kufuzu kwenda Afcon.
Hakika Yanga wanaweza kuwa ‘wanateseka’ sana na mafanikio ya Simba. Msiteseke sana..
Hawa ndiyo walitakiwa kuitwa Mbumbumbu na siyo mashabiki wa Simba.
Huyu ambaye kila uchwao alikuwa anawasisitiza mashabiki wa Simba waje kwa kujiamini kuwa watabeba hizo alama zote tisa.
Kauli mbiu ambayo ingekuwa na uwezo wa kutia moyo ni ile ya YES WE CAN .
Ni barua ambayo imesambaa sana duniani kote !, siyo kwa nia mbaya, ni kwa nia nzuri.
Je rekodi ipi ambazo Cristiano Ronaldo aliziweka baada ya kufunga hat trick dhidi ya Atletico Madrid katika mchezo wa jana?
Mechi ambazo huonekana ni ngumu na kuna ulazima wa timu kushinda. Mechi ambazo zinahitaji kila mchezaji kuonesha ƙkuwa bado mechi haijaisha.