Uchambuzi wa mechi ya Yanga na Njombe Mjini
Leo Yanga walianza na mfumo wa 4-3-3 baadaye walibadirika na kuanza kucheza 4-4-2 na Njombe mji wakicheza mfumo wa 4-4-2. Kwa kipindi cha kwanza Njombe mji walicheza vizuri wakati wakiwa na mpira kuanzia eneo la nyuma mpaka katika eneo la katikati. Walipokuwa na mpira waliweza kusogea mpaka eneo la karibu...