sasa imewageukia wateja wao kwa kuwamwagia fursa kemkem za kujipatia mamilioni ya pesa kiulani wakati wakiwa wanasajili akaunti zao mpya za ubashiri wa michezo.
Pia msemaji wa kampuni ya Parimatch amesema wapo katika mazungumzo na vilabu vya Championship ili kutoa udhamini zaidi lakini pia wapo katika mazungumzo na Bodi ya Ligi.
Wakati wengi wakiamini World Cup ya 1994 si zama zake tena ,Mzee huyu alikuwepo Marekani na alifunga tena katika mchezo ambao Cameroon walifungwa mabao 6 - 1.