Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Wachezaji watano ambao wanatakiwa kupambana au kuondoka Simba

Ndiyo mabingwa watetezi na wawakilishi wa Tanzania katika michuano ijayo ya CAF. Walifanya usajili, usajili mkubwa kitu ambacho ni kizuri kwenye timu yoyote ambayo inataka kushinda. Lakini kuna baadhi ya wachezaji ambao wanatakiwa kuondoka kuanzia dirisha dogo la usajili na dirisha kubwa kwa manufaa ya vipaji vyao na kwa manufaa...
Blog

Mohammed Ibrahim, fundi wa Mpira asiyeaminika Simba!

Fundi!, ndilo neno ambalo nililisikia kutoka kwa jirani yangu. Niligeuka kumwangalia, kwa bahati nzuri au mbaya tukakutanisha naye macho. Hapo ndipo ukawa mwanzo wa yeye kuniambia, aliongea kwa hisia kali sana ambazo zilionesha dhahiri maneno yake yalikuwa yanatoka moyoni. Mazungumzo yake yalikuwa yametawaliwa na neno Mohammed Ibrahim, na haya yote...
Blog

Hiki ni ‘kirusi‘ kinachopaswa kuangamizwa haraka Yanga SC

Kama uongozi wa juu unatangaza na kufanya uhamasishaji mkubwa kwa wanachama na wapenzi wa klabu kuichangia timu yao nani mwingine anayejitokeza na kuisemea klabu kwamba ‘neema‘ imerejea? Boaz Ikupilika- mwenyekiti wa matawi ya klabu ya Yanga SC anapaswa kuelewa ana fanya makosa makubwa- pengine anaihujumu klabu yake kwa taarifa ambazo...
Blog

Kina Samatta wanatupa sababu mia za kupeleka wachezaji nje

Habari za mechi ya Uganda na Tanzania zimeshaanza kufifia, wengi tumeshaanza kuangalia upande mwingine wa maisha. Tumeshatazama sehemu nyingine ambayo inaweza kutufanya tusogeze siku, jua lichomoze na lizame tukiwa wenye furaha. Furaha zetu zinatengenezwa na vitu vingi sana!, hakuna kitu kimoja pekee kinachotengeneza furaha ya watu wote kwa pamoja. Kila...
Blog

Kyombo afudhu majaribio kwenye klabu ya Mamelodi Sundowns

Mshambuliaji kinda wa Singida United Habibu Haji Kyombo huenda akajiunga na Mamelodi Sundowns baada ya kufanikiwa majaribio ya siku 20 aliyoyafanya na klabu hiyo ya nchini Afrika Kusini. Meneja wa klabu ya Singida United Festo Richard Sanga amesema mchezaji huyo ambaye awali alikwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya majaribio...
Blog

Taifa Stars likutana na Uganda ‘dhaifu’.

Nambole, Uwanja mgumu sana kwa kila timu ambayo inakanyaga pale. Ni ngumu sana kuifunga timu ya taifa ya Uganda katika uwanja huo, kwa sababu pale ndipo sehemu ambayo wachezaji wengi wa Uganda hutoka jasho la damu. Jasho lao ni tofauti sana na jasho la wachezaji wengi kipindi wanapokuwa Nambole. Watahakikisha...
1 73 74 75 76 77 85
Page 75 of 85