La Liga

La Liga

Koti la Ronaldo lilikuwa limemficha Benzema

Ndiyo usajili wa gharama msimu huu na ndiyo usajili ambao kila kona ulikuwa gumzo. Kila mtu alishangaa kwanini Cristiano Ronaldo anaenda Italy, nchi ambayo kwa miaka ya hivi karibuni ushindani umekuwa finyu. Juventus ameitawala ligi hii, hakuna ambaye ameweza kumzuia. Kila asubuhi pakikucha anawaza ashinde magoli mangapi. Hali ambayo imemfanya...
La Liga

Real Madrid kumtangaza mrithi wa CR7

Baada ya kuondoka kwa Mshambualiaji Cristiano Ronaldo katika klabu ya Soka ya Real Madrid na kujiunga na Juventus Kumekuwa na maswali mengi je ni nani atavaa Jezi namba 7 ndani ya kikosi hicho cha Los Blancos. Japokuwa Juventus walitangaza Mapema kabisa kumsajili nyota huyo lakini Bado kocha Julen Lopetegui amekuwa...
La Liga

Zinedine Yazid Zidane aweka rekodi mpya

Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane, usiku wa jana katika mchezo wa Ligi kuu ya Hispania ameweza kuweka rekodi yake ya kushinda michezo 100, katika mashindano yote akiwa na Real Madrid Zidane mbaye alitengeneza rekodi hiyo katika mchezo wa jana dhidi ya Malaga, ambapo Real Madrid waliweza kuishinda Malaga bao...
La Liga

Rekodi ambazo Ronaldo na Messi hawajawahi kuzivunja UEFA

Kuna vitu vingi wamevifanya, kuna rekodi nyingi wameziweka , rekodi ambazo zimewafanya wawe na mashabiki wengi duniani. Lakini kuna baadhi ya rekodi hawajawahi kuzivunja au kuzifikia na zinaonekana ni ngumu kwao kuzifikia hasa hasa kwenye michuano ya klabu bingwa barani ulaya. Juzi Ronaldo alifunga hat-trick yake ya 50 na kumuacha...
La Liga

Ni derby ya Madrid katika vita ya kuwania nafasi

  Leo kuna derby nyingine pale Hispania kunako ligi kuu ya nchini humo maarufu kama La Liga, ambapo Real Madrid watakuwa nyumbani Santiago Bernabeu kuwakaribisha wapinzani wao wa jadi Atletico Madrid Licha ya kuwa ni wapinzani wa jadi, lakini vita kubwa katika derby hii ni kuwania kumaliza kunako nafasi ya...
La Liga

Usiteleze ukiwa dunia ya Ronaldo, Usianguke ukiwa dunia ya Messi

Ureno na Argentina ndizo nchi ambazo kwa sasa zinaonekana zinamiliki wafalme wa soka duniani. Wafalme ambao wamefanikiwa kujenga nguzo imara katika falme zao. Nguzo ambazo zinaonekana ngumu kwa kizazi kinachokuja kuzivunja, inawezekana mikono yao hawa watu wawili ilikuwa dhabiti kwenye ujenzi wa nguzo hizi. Ujenzi ambao umefanyika kwenye mashindano mengi...
La Liga

CR7 mwenye ahadi yake ya mwezi Novemba

Mengi yalizungumzwa sana mwanzoni mwa msimu huu ligi kuu Hispania maarufu kama La Liga, hiyo ni kutokana na ukame wa mabao aliokuwa nao mshambuliaji Cristiano Ronaldo na kutafsiriwa kuwa kiwango chake kimefikia tamati. Kwa sasa hali imeonekana kubadilika, mara baada ya mshambuliaji huyo wa Real Madrid kufunga mabao manne katika...
La Liga

Miguu ya kina Ramos imebeba matumaini ya Real Madrid

Santiago Bernabeu, uwanja ambao ulikuwa na nyasi ambazo zilichagua ng'ombe wa nyumbani kupata malisho. Kutoka na ubabe wa ng'ombe ngeni tulitegemea kwa kiasi kikubwa ungemfanya amzidi ng'ombe mwenyeji Magoli matatu yalitosha kumpa pumzi ndefu mwenyeji, pumzi ambayo anaenda nayo ƙkatika uwanja wa Parc des Princes. Uwanja ambao umekuwa siyo salama...
La Liga

Kwaheri fundi Ronaldinho Gaucho

Tarehe 21, Machi 1980 kunako mji wa Port Alegre nchini Brazil mtoto Ronaldo de Assis Moreirra alizaliwa, mzee Joao Moreirra na mkewe Bi Miguerina De Assis walifanikiwa kumzaa mtoto ambaye baada ya miaka kadhaa kupita alifanikiwa kuwa mwandinga maarufu Jina lake halisi anaitwa Ronaldo lakini wabrazil ili kumtofautisha na Ronaldo...
1 2 3 4
Page 3 of 4
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.