Mwinyi Zahera ni meneja wa Makambo ?
Mwinyi Zahera anaenda na Makambo kama nani ? Msimamizi wake yani Meneja wake ? Au anaenda na Makambo kama kiongozi wa Yanga?
Mwinyi Zahera anaenda na Makambo kama nani ? Msimamizi wake yani Meneja wake ? Au anaenda na Makambo kama kiongozi wa Yanga?
Tazama hapa msimamo baada ya mchezo wa leo.
Ikumbukwe Yanga wapo katika mbio za kutaka ubingwa huku Ruvu Shooting wao wakiwa kwenye vita ya kujinasua isiteremke daraja.
Kwa matokeo hayo sasa Simba sc inahitaji alama nane ili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu huu.
Kwa maana hiyo Okwi amehusika katika mabao matano katika michezo mitano ya Simba katika Ligi Kuu Bara.
Katika mchezo wa kwanza Kagera Sugar waliifunga Simba mbili kwa moja huku pia msimu uliopita wakiwafunga bao moja kwa sifuri mbele ya Rais John Magufuli
Baada ya Emmanuel Okwi na Meddie Kagere kufunga mabao matatu katika mechi moja kwa mara ya kwanza msimu huu katika mchezo dhidi ya Coastal Union ni wazi sasa katika vita ya ufungaji bora imetawaliwa na wachezaji kutoka Simba sc
Tazama hapa msimamo baada ya ushindi mzito mbele ya Coastal union.
Mpaka sasa Simba ina alama 78 ikishika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku Yanga wakiwa kileleni na alama 80.
Nani kuibuka bingwa wa ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/2019? Simba, Yanga au Azam? Ingia upige kura yako na utoe maoni pia.